Filamu ya Kiswahili

3000.00TSh

Huu ni mchezo wa kusisimua wa filamu za Kiafrika unayofaa kuangaliwa nyumbani. Unaonesha hadithi halisi za maisha ya kila siku Tanzania, huku ukielezea mapenzi, familia, na changamoto za kijamii.